Manchester City - Southampton - International

Haaland afikisha mabao 43 ya msimu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Apr 2023
Haaland afikisha mabao 43 ya msimu

Erling Haaland amefikia rekodi nyingine ya Premier League kwa kupachika mabao mawili dhidi ya Southampton katika ushindi wa 4-1

Manchester City sasa wako nyuma ya Arsenal kwa pointi tano baada ya kupata ushindi muhimu dhidi ya timu ya Ruben Selles kwenye Uwanja wa St Mary's

Haaland aling'ara tena akifunga bao lake la kwanza kwa kuunganisha kwa kichwa krosi ya Kevin De Bruyne kabla ya kwenda mapumziko, ambayo ilikuwa assist ya 100 ya Mbelgiji huyo kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.

Nyota huyo wa zamani wa Chelsea akatengeneza asisti nyingine kwa Jack Grealish, ambaye aliendeleza kiwango chake kizuri kwa bao lingine wikendi hii.

De Bruyne amefikisha assist 10  kwa muda wa haraka zaidi kwa mchezaji wa Premier League, amefanya hivyo katika mechi 237.

Mchezaji anayeshika nafasi ya pili ni Cesc Fabregas, alichukua mechi 298 na kupata asisti 100. Dakika chache kabla ya bao la kwanza la City, Haaland alikuwa amekosa nafasi nzuri kabla hajafunga bao la mechi ambalo ni la 43 la msimu katika mashindano yote

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’