Polisi Tanzania wanahitaji muujiza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Apr 2023
Polisi Tanzania wanahitaji muujiza

Mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ambrose Awio amesema kikosi hicho kinahitaji miujiza kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Liti.

Awio amesema kwa hali ilivyo ni ngumu kwao kutokana na wengi wao kukata tamaa ila wataendelea kupambana katika michezo yao minne iliyosalia ili angalau waangukie kwenye mechi za Play-Off

"Kitendo cha kupoteza kinashusha sana morali ya timu na ndicho kitu ambacho kinatukumba kwa sasa, ni wazi tuna kazi kubwa ya kufanya kupata hata hiyo nafasi ya kucheza michezo ya mchujo kama hatutaongeza bidii," alisema

John Tamba ambaye ni kocha msaidizi wa timu hiyo alisema michezo minne iliyobaki itatoa taswira yao kwa msimu huu hivyo wanahitaji kupambania pointi 12 ambazo anaamini wakizipata zitawaweka kwenye sehemu salama

Chini na Kocha Mwinyi Zahera aliyejiunga na timu hiyo Disemba 2022, Polisi Tanzani wameshinda michezo miwili tu kati ya 12 ya Ligi Kuu Bara huku mechi nne wakitoka sare na sita yote iliyosalia wakipoteza

Zahera alichukua nafasi ya Mrundi, Joslin Bipfubusa aliyetimuliwa Oktoba 26, mwaka jana kutokana na matokeo mabovu na alikiongoza katika michezo saba ya Ligi Kuu akishinda pia miwili tu na kupoteza mitano

Katika michezo 26 waliyocheza hadi sasa, wameshinda minne tu, sare saba na kupoteza 15 wakiwa mkiani na alama 19

ADVERTISE HERE

More Stories

Matola: Namungo ni timu imara, tunataka kutetea rekodi yetu
Matola: Namungo ni timu imara, tunataka kutetea rekodi yetu
2h ago
READ MORE β†’
Tunakwenda kucheza na timu mzito na ngumu: Juma Mgunda
Tunakwenda kucheza na timu mzito na ngumu: Juma Mgunda
2h ago
READ MORE β†’
Jack Grealish aingia matatani Everton baada ya kuripotiwa kula bata siku mbili mfululizo
Jack Grealish aingia matatani Everton baada ya kuripotiwa kula bata siku mbili mfululizo
2h ago
READ MORE β†’
NBC Premier League: Mechi mbili za kibabe kupigwa leo.
NBC Premier League: Mechi mbili za kibabe kupigwa leo.
4h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya mechi kubwa inaendelea: Liverpool vs Arsenal na Napoli vs Juventus
Wikiendi ya mechi kubwa inaendelea: Liverpool vs Arsenal na Napoli vs Juventus
5h ago
READ MORE β†’
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
17h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
19h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
20h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
21h ago
READ MORE β†’