Meneja wa habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wana kila sababu ya kupata ushindi siku ya Jumapili katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa April 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
..... download Xtra 90 App