Singida - Yanga - Local

Singida BS yajifua bila Pluijm

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Apr 2023
Singida BS yajifua bila Pluijm

Kikosi cha Singida Big Stars kinarudi mazoezini leo Alhamisi kwa ajili ya kujiandaa na michezo mbalimbali lakini ndani ya siku 10 zijazo kitakuwa bila ya Kocha Mkuu Mholanzi, Hans Van Der Pluijm

Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu April 07, mchezo unaofuata ni dhidi ya mabingwa watetezi Yanga ambao bado haujapangiwa tarehe ya TFF

Pluijm ameelekea Marekani kwa ajili ya kuhudhuria ndoa ya mwanaye huku Kocha Msaidizi wa timu hiyo Mathias Lule nae akiondoka baada ya kufiwa na Mama yake mzazi

Kikosi cha Singida BS kinajifua chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhan Nswanzurimo katika muda ambao makocha hao watakosekana

Singida BS inakabiliwa na mechi mbili dhidi ya Yanga kwani baada ya mchezo wa ligi, timu hizo zitakutana kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) mechi zote zikipigwa uwanja wa Liti

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
24m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’