Klabu ya KMC imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa Kocha Mkuu wa timu hiyo Thiery Hitimana
Taarifa iliyotolewa na KMC mapema leo, imebainisha kuwa Jamhuri Kiwhelo 'Julio' amekabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu hiyo katika mechi zilizosalia kumaliza msimu huu




