Nyota wa zamani wa Yanga, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' amesema mechi ya watani wa jadi nchini, Simba na Yanga itakayochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam itakuwa na 'mvuto mkubwa' kutokana na aina ya usajili uliofanywa na timu hizo
..... download Xtra 90 App



