International

Udhamini wa betting marufuku Uingereza 2026

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Apr 2023
Udhamini wa betting marufuku Uingereza 2026

Vilabu vinavyoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza vimekubaliana kutoweka mbele ya jezi za wachezaji nembo za michezo ya kubahatisha kuanzia msimu wa mwaka 2026/7 katika michezo ya ligi hiyo maarufu duniani

Kuna timu nane katika ligi hiyo zinazodhaminiwa na makampuni ya michezo ya kubahatisha. Taarifa iliyotolewa na bodi ya ligi hiyo imesema vilabu vya EPL kwa pamoja wamepitisha azimio la kutoweka mbele ya jezi nembo za michezo hiyo wakati wa mechi za ligi.

Hatua hiyo inaifanya ligi hiyo kuwa ya kwanza kuchukua hatua hiyo ili kupunguza matangazo yanayochochea michezo hiyo.

Maamuzi ya bodi ya ligi hiyo yamehusisha wadau mbalimbali katika kuchukua hatua hiyo vikiwemo vilabu vyenyewe na serikali.

Bodi hiyo kwa sasa inahusisha pia wadau ili kuja na sera mpya itakayotoa mwongozo wa udhamini unaotokana na michezo ya kubahatisha.

Bodi hiyo imesema wakati watu wazima wanasikia raha kucheza michezo ya kubahatisha, matangazo ya michezo hiyo kupitia vilabu yamekuwa na athari kwa watoto wadogo ukizingatia kuwa wachezaji wamekuwa ni mfano wa kuigwa na mashabiki wa watoto hao.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’