Manchester City - Arsenal - Aston Villa - Leicester - International

Vita ya Manchester City na Arsenal inaendelea Premia

Joel JJ By Joel JJ
14 Apr 2023
Vita ya Manchester City na Arsenal inaendelea Premia

Manchester City wanazidisha joto kwa Arsenal katika mbio za kuwania taji la Ligi ya Premia huku vijana wa Pep Guardiola wakilenga ushindi wa 10 mfululizo wakati Leicester watakapozuru Etihad Jumamosi.

Uongozi wa Arsenal kwa pointi sita kileleni mwa jedwali unaweza kupunguzwa kwa nusu kabla hawajazuru West Ham Jumapili

Mechi zote mbili pia zitakuwa na athari kwa wapinzani wao katika vita ya kujinusuru kushuka daraja wakiwa na pointi sita pekee zinazowatenganisha Leicester katika nafasi ya 19 kutoka kwa Wolves katika nafasi ya 13

Aston Villa walio katika kiwango bora wanaweza kuingia katika kinyang'anyiro cha nne-bora wakati Newcastle walio nafasi ya tatu watakapotembelea Villa Park.

Manchester United pia wanatazamia kupiga hatua karibu na Ligi ya Mabingwa msimu ujao huko Nottingham Forest

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
58m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
2h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
2h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →