Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya Tsh Milioni 1 kocha msaidizi wa Ruvu Shooting Renatus Shija kwa kukataa kufanya mahojiano na mtangazaji wa Azam TV baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Tanzania Prisons




