Bayern Munich - International

Bayern kumuweka sokoni Mane

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Apr 2023
Bayern kumuweka sokoni Mane

Klabu ya Bayern Munich imempiga faini, Sadio Mane na huenda wakafungua milango kwa nyota huyo kuondoka kipindi cha majira ya joto kwa kitendo chake cha kumpiga ngumi mchezaji mwenzake, Leroy Sane baada ya mechi yao na Man City

Tukio la Mane kumpiga Leroy Sane limetokea baada ya miamba hiyo ya Ujerumani kupokea kichapo cha goli 3-0 dhidi ya Manchester City Jumanne iliyopita

Sane alionekana kuumia sehemu ya lipsi za mdomo kufuati ngumi hiyo

Mane alisimamishwa kwa muda na kukosa mechi ya Bundesliga dhidi ya Hoffenheim siku ya Jumamosi huku akilimwa faini 

Inaripotiwa kuwa mchezaji huyo wa Senegal amepigwa faini kubwa mno kuwahi kutokea kwenye historia ya klabu ya Bayern Munich ipatayo zaidi ya pauni 260,000

Tayari amerejeshwa kikosini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Manchester ambao utapigwa Jumatano

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
24m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’