Chelsea - Real Madrid - Napoli - Milan - International

Chelsea kupindua meza dhidi ya Real Madrid leo?

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Apr 2023
Chelsea kupindua meza dhidi ya Real Madrid leo?

Ni Jumanne ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya ambapo Chelsea inakabiliwa na kibarua kigumu cha kupindua meza kufuatia kipigo cha 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza dhidi ya Real Madrid katika Uwanja wa Stamford Bridge

Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili ambazo zimeshinda ubingwa wa Ulaya kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, The Blues wakitwaa UCL mnamo 2021 huku Real Madrid wakitwaa kombe hilo mwaka jana 2022

Chelsea chini ya kocha wa muda Frank Lampard, watahitaji kufanya kazi ya ziada kuweza kuwaondosha mabingwa hao wa kihistoria katika ligi ya mabingwa

Chelsea hawana mwenendo mzuri wakikosa ushindi katika mechi tano zilizopita katika mashindano yote

Mechi nyingine itakayopigwa leo, itahusishwa derby ya Italia ambapo mabingwa watetezi wa Serie A, AC Milan wakiwa ugenini dhidi ya mabingwa watarajiwa wa Serie A, Napoli katika mchezo mwingine wa raundi ya pili ya hatua ya robo fainali ya UCL 

AC Milan ilishinda bao 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, itakuwa na kibarua cha kulinda ushindi wake katika dimba la Diego Maradona

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’