Manchester City wanajiandaa kumpa mshambuliaji wa Norway Erling Haaland mkataba mpya ambao utaondoa kipengele cha kuuzwa kwa pauni milioni 150 katika mkataba wa sasa wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, kwa nia ya kuzuia baadhi ya vilabu vikubwa vya Ulaya, ikiwa ni pamoja na Real Madrid vinavyomnyatia. (Athletic)
..... download Xtra 90 App



