Chelsea - International

Chelsea yawasiliana na Pochettino

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Apr 2023
Chelsea yawasiliana na Pochettino

Chelsea wamewasiliana na Mauricio Pochettino ‘katika siku chache zilizopita’ huku wakiendelea na utafutaji wa kocha mkuu mpya wa kudumu.

Hayo ni kwa mujibu wa Fabrizio Romano, ambaye anasema klabu imewasiliana moja kwa moja na Muargentina huyo

Chelsea walihusishwa na kutaka kumnasa kocha huyo wa zamani wa Tottenham na PSG msimu wa joto, lakini hawakuwahi kumpata

Romano anasema mazungumzo bado hayajawa katika hatua ya 'maendeleo' na Julian Nagelsmann anasalia kuwa chaguo la kwanza

Hata hivyo, inadaiwa mazungumzo na Pochettino yataendelea huku Chelsea ‘inataka kuwa na uhakika wa asilimia 100 ya chaguo lao’

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’