Yanga - Local

Yanga yaizima Rivers United kwao, yashinda 2-0

Joel JJ By Joel JJ
23 Apr 2023
Yanga yaizima Rivers United kwao, yashinda 2-0

Yanga imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United

Mabao mawili ya Fiston Mayele kutoka kwa assist mbili za Bakari Nondo Mwamnyeto yameacha kilio huko Nigeria

Wananchi walisema wanakwenda kulipa kisasi Nigeria, wamefanikiwa! kwani mabao mawili ambayo Rivers United waliifunga Yanga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa mwaka 2021 yote yamelipwa!

Ni ushindi muhimu kwa Yanga ambao sasa unawafanya wahitaji sare au ushindi katika mchezo wa marudio utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa April 30

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
57m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
2h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
2h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →