Barcelona - Atletico - International

Barcelona yaichapa Atletico Madrid 1-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Apr 2023
Barcelona yaichapa Atletico Madrid 1-0

Bao la Ferran Torres mwishoni mwa kipindi cha kwanza lilitosha kuipa Barcelona ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid katika harakati zao za kuwania ubingwa wa La Liga

Fowadi huyo wa zamani wa Manchester City alipokea pasi kutoka kwa Raphinha kutoka upande wa kushoto na akapiga shuti la chinichini lililomshinda Jan Oblak.

Atletico walitengeneza nafasi kadhaa kwenye kipindi cha kwanza Antoine Griezmann akikaribia kuwaadhibu waajiri wake hao wa zamani

Katika kipindi cha pili chenye burudani, pande zote mbili zilipata nafasi nyingi, lakini hakuna bao lililofungwa

Ushindi huo unaifanya Barcelona kufikisha pointi 11 mbele ya Real Madrid kileleni mwa La Liga, huku Atletico wakiwa nyuma kwa pointi tano dhidi ya wapinzani wao wa jiji hilo katika nafasi ya tatu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’