Yanga - Singida - Local

Haitakuwa rahisi kucheza dhidi ya Yanga - Pluijm

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Apr 2023
Haitakuwa rahisi kucheza dhidi ya Yanga - Pluijm

Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amekiri kuwa ubora wa kikosi cha Yanga unamnyima usingizi kuelekea mechi mbili ambazo wanatarajia kucheza hivi karibuni

Pluijm amesema kuwa kiwango na matokeo inayoyapata timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, inaonesha namna ilivyo bora hivi sasa

"Hakuna kocha ambaye anapenda kukutana na Yanga katika kipindi hiki kutokana na ubora wao, hii ni timu ambayo imeimarika sana na wamekuwa wakipata ushindi sehemu yoyote, kitu ambacho kinatupasa kuwa makini," amesema Pluijm

Singida Big Stars itacheza na Yanga mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mei 4 na siku tatu baadaye itarudi tena uwanjani kucheza na timu hiyo kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mechi zote zikitarajia kupigwa Uwanja wa Liti mkoani Singida.

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
27m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’