Sheffield United imerejea tena Ligi Kuu England usiku wa jana baada ya kuichapa West Brom mabao 2-0 kwenye Championship
Sheffield ilishuka daraja mwaka 2021 na imeenda kujitafuta hivyo itakuwa ndani ya EPL 2023/24 huku ikisubiri timu moja kutoka Championship itakayocheza hatua ya mtoano
Wameungana na Burnley ambao walikuwa wa kwanza kujihakikishia kucheza Premia msimu ujao
Burnley inanolewa na nahodha wa zamani wa Manchester City, Vicent Kompany



