Chelsea - International

Lampard ataendelea kusalia Chelsea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Apr 2023
Lampard ataendelea kusalia Chelsea

Frank Lampard ataendelea kuwa meneja wa muda wa Chelsea hadi mwisho wa msimu huu, kulingana na Sky Sports

Klabu hiyo ilimweka Lampard usukani hadi majira ya joto mnamo Aprili 6 na hilo litabaki hivyo licha ya kuendelea kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya

Mchakato wa klabu kupata meneja mpya wa kudumu bado unaendelea huku Mauricio Pochettino akiwa anaongoza na pengine atakabidhiwa majukumu mwishoni mwa msimu.

Wiki ijayo, Chelsea inatarajiwa kumtangaza kocha atakayechukua mikoba ya LampardΒ 

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
59m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
15h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’