Msafara wa kikosi cha Simba umerejea kutoka Morocco na kupata maokezi makubwa kutoka kwa Mashabiki waliojitokeza uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere asubuhi ya leo Jumapili
Simba iliondoshwa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Wydad Athletic baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 0katika mchezo wa mkondo wa pili uliopigwa Morocco Ijumaa iliyopita
Simba ilishinda bao 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam










ADVERTISE HERE