Ronaldo - Manchester United - Real Madrid - International

Ronaldo mbioni kuondoka Arabuni

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 May 2023
Ronaldo mbioni kuondoka Arabuni

Kwa mujibu wa Sky Sports, Mshambuliaji wa Al Nassr FC, Cristiano Ronaldo anataka kuondoka klabuni hapo licha ya sababu kutotajwa huku akiwa bado ana mkataba wa miaka miwili

Ronaldo alijiunga na klabu hiyo ya Saudi Arabia akitokea Manchester United. Nahodha huyo wa Ureno alikubali kusitisha mkataba wake na United baada ya mahojiano yake na Mwandishi wa Habari Piers Morgan, licha ya uwepo wa taarifa za kutokuwa na maelewo mazuri na uongozi wa timu hiyo na kocha Eric Ten Hag.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 kisha alikubali mkataba wa pauni milioni 175 kwa mwaka hadi 2025 na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia

Haijafahamika sababu iliyopelekea Ronaldo kutaka kuondoka Al Nassr ingawa hivi karibuni Rais wa klabu hiyo alinukuliwa na vyombo vya habari huko Arabuni akidai kuwa alichotarajia kutoka kwa Ronaldo wakati akimsajili sicho alichopata

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’