PSG - International - Barcelona

Messi asimamishwa PSG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 May 2023
Messi asimamishwa PSG

Ripoti kutoka Ufaransa zimebainisha kuwa Paris Saint-Germain (PSG) imemsimamisha kwa wiki mbili Mchezaji wake Lionel Messi kutokana na utovu wa nidhamu

Imeelezwa kuwa Messi alisafiri kwenda Saudi Arabia wiki hii bila ruhusa ya klabu

PSG imeripotiwa kumsimamisha Messi kwa wiki mbili bila malipo baada ya kutohudhuria mazoezi bila kibali na kusafiri kwenda Saudi Arabia ambako alionekana akiwa kwenye Mji wa Riyadh siku ya Jumatatu

Mkataba wa Messi na PSG unamalizika mwishoni mwa msimu, pengine ni wazi sasa Messi hataendelea kuitumikia timu hiyo

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’