Simba - Local

Kocha wa zamani Simba atua Wydad

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 May 2023
Kocha wa zamani Simba atua Wydad

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afika Wydad Casablanca wamemtangaza Sven Vandenbroeck kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua nafasi ya Juan Carlos Garido aliyebwaga manyanga

Sven aliyekuwa akiifundisha Abha inayoshiriki Ligi Kuu ya Saud Arabia tangu Julai 16 hadi Octoba 8, katika mechi sita alizoiongoza timu hiyo alishinda moja, sare moja na kupoteza nne

Kocha huyo alishawahi kuifundisha Simba SC mwaka 2019 hadi 2021 kabla ya kutimkia Morocco kuinoa timu ya ya FAR Rabat kabla ya kwenda Saudia

Pia, kabla ya kutua Wydad kocha Sven hakuwa na timu baada ya kutimuliwa Abha aliyoiongoza mechi sita tu

Wydad inatarajia kucheza nusu fanali Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuiondosha Simba kwa mikwaju ya penalti dhidi ya wababe wa Afrika Kusini, Mamelod Sundowns

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’