Baada ya kukishuhudia kikosi chake kikichezea Bakora 2-0 mbele ya Mabingwa watetezi Tanzania Bara Young Africans, Kocha Mkuu wa Singida Big Stars Hans van der Pluijm, amesema hatakubali tena kufungwa na wababe hao wa Jangwani
..... download Xtra 90 App



