Yanga - Local

Yanga yaita mashabiki mechi dhidi ya Marumo Gallants

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 May 2023
Yanga yaita mashabiki mechi dhidi ya Marumo Gallants

Mkakati wa Yanga ni kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants ambao utapigwa Jumatano, May 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tayari Yanga imeandika rekodi kwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Kutokana na ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu, Yanga ina nafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidi katika michuano hiyo sasa wakiisaka fainali

Mkakati wa kutinga fainali unaanzia nyumbani Yanga ikihitaji ushindi dhidi ya Marumo Gallants ili kuhakikisha inakwenda kukata tiketi ya fainali kwenye mchezo wa marudiano wiki ijayo

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki wa Yanga kununua tiketi zao mapema ili kuwa sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa siku ya Jumatano

OUR TEAM, OUR TIME ni kauli mbiu maalum inayotumiwa na Yanga kuelekea mchezo huo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’