Simba - Ruvu - Local

Simba yaanza mawindo ya Ruvu Shooting

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 May 2023
Simba yaanza mawindo ya Ruvu Shooting

Baada ya kurejea jijini Dar es salaam kutoka mkoani Mtwara jana, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi tatu za kuhitimisha msimu wa ligi kuu ya NBC

Ijumaa May 12 Simba itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, raundi ya 28

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania kabla ya kuhitimisha msimu kwa mchezo dhidi ya Coastal Union May 28

Mechi zote zitapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
29m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
41m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’