Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limewafungia kujihisisha na mpira Mwenyekiti wa Klabu ya Kitayose inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Championship Yusuph Kitumbo na Ulimboka Mwakingwe baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la upangaji wa matokeo
..... download Xtra 90 App



