Kitayosce - Local

Kitoyosce yaungana na JKT Tanzania Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 May 2023
Kitoyosce yaungana na JKT Tanzania Ligi Kuu

Timu ya Kitayosce FC imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Sports ya Tanga jana Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.

Kitayosce imefikisha pointi 60, moja zaidi ya Pamba FC ambayo pia imeshinda 2-1 dhidi ya Fountain Gate Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.

Kitayosce imeungana na JKT Tanzania, mabingwa wa Championship waliomaliza na pointi 63.

Pamba itakwenda kumenyana na Mashujaa iliyomaliza na pointi 49 nafasi ya nne na mshindi wa jumla atakwenda kumenyana na timu iliyoporomoka kutoka Ligi Kuu kuwania kupanda.

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
18m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’