Transfer - International

Tetesi za soka Ulaya, Jumatatu May 15 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 May 2023
Tetesi za soka Ulaya, Jumatatu May 15 2023

Real Madrid bado wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe kutoka Paris St-Germain lakini hawatalipa ada ya uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Marca In Hispanic)

Manchester United wanamwinda tena kiungo Adrien Rabiot huku Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 28 akikaribia mwisho wa mkataba wake na Juventus. (L'Equipe – In France )

Mauricio Pochettino anakaribia kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwa kocha mkuu wa Chelsea. (Telegraph)

Meneja wa Brighton Roberto De Zerbi anatarajia kiungo wa Ecuador Moises Caicedo, 21, na kiungo wa kati wa Argentina Alexis Mac Allister, 24, kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto. (Metro)

Mshambulizi wa Uholanzi Wout Weghorst atafanya mazungumzo na meneja wa Burnley Vincent Kompany mara baada ya muda wake wa mkopo kumalizika Manchester United. (Sun)

Crystal Palace wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Lyon Mfaransa Moussa Dembele, 26, msimu huu wa joto. (Football Insider)

Manchester United wameungana na Arsenal katika mbio za kumsajili beki wa RB Leipzig Mfaransa Mohamed Simakan, 23. (Fichajes – In Spanish )

AC Milan bado wanataka kumbakisha kiungo wa kati wa Real Madrid raia wa Uhispania Brahim Diaz, 23, katika klabu hiyo msimu ujao. (Kalciomercato)

Mkewe Thiago Silva Belle amethibitisha kuwa beki huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 38 ananuia kusalia Chelsea msimu ujao. (Evening Standard)

Paris St-Germain wako tayari kufanya mkataba wao wa mkopo kwa mshambuliaji wa Ufaransa Hugo Ekitike, 20, kuwa wa kudumu lakini Eintracht Frankfurt bado wanavutiwa na mchezaji huyo. (L'Equipe – In France )

BBC

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’