Inter - Milan - International

Inter Milan yatangulia fainali UEFA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 May 2023
Inter Milan yatangulia fainali UEFA

Inter wameifunga AC Milan 1-0 katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali huko San Siro Jumanne usiku, na kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa jumla ya mabao 3-0

Lautaro Martinez alifunga bao pekee la ushindi dakika ya 74, huku Romelu Lukaku aliyetokea benchi kipindi cha pili akitengeneza pasi ya bao

Inter wanasubiri mshindi wa mechi ya marudiano ya leo kati ya Manchester City dhidi ya Real Madrid ambayo itapigwa uwanja wa Etihad

Mkufunzi wa Ac Milan Stefano Pioli alizungumza na Sky Italia baada ya kushindwa: "Wachezaji walijitolea katika mechi zote mbili. Inter walistahili kushinda na tunawapongeza. Tulikuwa na matumaini ya kufika fainali. Ni wazi nimevunjika moyo kwa kutofika fainali. Tumejifunza mengi msimu huu"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’