Yanga - Local

Yanga kamili kuikabili Marumo Gallants Afrika Kusini

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 May 2023
Yanga kamili kuikabili Marumo Gallants Afrika Kusini

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wanawania rekodi ya kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika watakapowakabili Marumo Gallants katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali utakaopigwa uwanja wa Royal Bafokeng huko Afrika Kusini

Yanga itaingia katika mchezo huo ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 2-0 waliopata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa wiki iliyopita

Ni mechi ngumu ya ugenini, Marumo Gallants wakitarajiwa kujaribu kupindua matokeo katika mchezo ambao mashabiki wataingia bure

Marumo wamekuwa na matokeo ya kushangaza kwenye mashindano ya Shirikisho wakishinda mechi zote walizocheza katika uwanja wao wa nyumbani lakini timu hiyo ikipambana kujinusuru kuteremka daraja katika ligi kuu ya Afrika Kusini

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema watakuwa na dakika 90 za jasho na damu kuipambania Yanga na kupeperusha vyema bendera ya Tanzania huko ugenini

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
32m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
44m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’