Simba - Yanga - Local

Simba, Yanga zachuana tuzo Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 May 2023
Simba, Yanga zachuana tuzo Ligi Kuu

Jana Bodi ya Ligi (TPLB) ilitoa orodha ya wachezaji watano wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2022/2023 ambao umebakisha mechi mbili kumalizika

Tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu wanaowania ni Mzamiru Yassin, Fiston Mayele, Bruno Gomes, Djigui Diarra, Saido Ntibazonkiza

Kipa bora wanaowania Aishi Manula, Djigui Diarra, Benedict Haule. Kwa upande wa beki bora wa mwaka kuna Dickson Job, Henock Inonga, Bakari Mwamnyeto, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein

Kiungo bora wanaowania ni Bruno Gomes, Mzamiru Yassin, Stephane Aziz Ki, Clatous Chama , Saido Ntibazonkiza. Kocha bora wa mwaka wanaowania Nasreddine Nabi, Hans Pluijm, Roberto Oliveira

Klabu za Simba na Yanga zimetoa idadi kubwa ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’