Bodi ya Ligi Kuu imesogeza mbele mechi mbili za kuhitimisha msimu huu zilizopaswa kupigwa May 24 na May 28
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi mapema leo, mechi hizo sasa zitapigwa Juni 06 na Juni 09
Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.