KMC - Local

KMC kupigania alama sita ugenini

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 May 2023
KMC kupigania alama sita ugenini

Beki na Nahodha Msaidizi wa KMC FC, Andrew Vicent 'Dante' amesema mechi zilizosalia ni lazima wapambane kuhakikisha wanapata alama tatu kwani ndizo zitaamua hatma yao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2022/23

KMC FC inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi ikiwa na alama 29, ikicheza michezo 28 , huku ikibaki za mechi zote ugenini dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya City

Dante amesema mechi hizo ni muhimu kwao kwani kama wakipata pointi sita watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya sasa kutokana na tofauti ya pointi zilivyo na huku ikiombea nyingine kupoteza.

"Muhimu kushinda kwenye mechi hizi ili kuepuka suala la kushuka daraja, tunajua tuna mechi ngumu mbele yetu lakini lolote lile zuri linaweza kutokea kwa sababu huu ni mpira"

"Wachezaji wote tupo kwenye morali nzuri kuhakikisha tunapata pointi kwenye mechi hizi na sio kufungwa, suala la kushuka daraja hatutaki litokee kabisa kwetu," amesema Dante 

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’