Yanga - Simba - Local

Yanga msirudie makosa yetu ya mwaka 1993 - KIbadeni

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 May 2023
Yanga msirudie makosa yetu ya mwaka 1993 - KIbadeni

Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amesema yupo tayari kuvaa jezi ya kijani na njano, ili kuipa sapoti Yanga, iweze kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger

Kibadeni amesema ana imani kubwa na Yanga kuanzia uongozi, benchi la ufundi na hata wachezaji hivyo anachowataka watumie faida ya kucheza nyumbani ili kushinda idadi kubwa ya mabao na kujiondoa kwenye presha watakapokwenda ugenini katika mechi ya marudiano

"Mwaka 1993 nilikuwepo kwenye kikosi cha Simba kilichocheza Fainali na Stella Abidjan kifupi tulifanya makosa ya kushindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani baada ya kuonesha kiwango bora kule Ivory Coast, sasa sipendi wenzetu Yanga warudie makossa hayo," amesema Kibadeni

Yanga itacheza na USM Alger Jumapili ikiwa ni mchezo wa mkondo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho, huku fainali ya pili ikipangwa kuchezwa Juni 3 huko nchini Algeria.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’