Manchester United - International

Hatma ya Maguire iko mikononi mwake

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 May 2023
Hatma ya Maguire iko mikononi mwake

Suala la beki wa Man United, Harry Maguire kubaki klabuni hao linabaki mikononi mwake na sio tena kwa kocha Eric Ten Hag

Muingereza huyo ,30, amecheza mechi 16 tu kati ya 38 za Ligi Kuu England msimu huu

Pengine kauli hiyo inaweza kuwa ni sababu ya uwepo wa Lisandro Martinez na Raphael Varane ambao Ten Hag amekuwa akiwatumia kwa pamoja katika michezo mingi msimu huu

"Hakuna atakayekuwa na furaha na hali hii, anafanya mazoezi kwa kiwango cha juu, ukapteni wake ni muhimu kwenye kikosi chetu," amesema Ten Hag

Maguire amekuwa akifanya baadhi ya makosa yaliyoigharimu timu hiyo ukiwemo mchezo wa Europa dhidi ya Sevilla ambao United walifungwa mabao 3-0

Ten Hag anaongeza: "Anapambana sana eneo la kati na Varane ambaye ni bora zaidi"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’