Newcastle wamempa Bruno Guimaraes mkataba mpya wenye mshahara pauni 200,000 kwa wiki ili asiende Liverpool, Real Madrid au Barcelona zinazomtaka na kumfanya kiungo huyo wa kati wa Brazil, 25, kuwa mchezaji anayelipwa zaidi klabuni hapo. (Sun) Liverpool
..... download Xtra 90 App



