PSG - Barcelona - International

Messi kuondoka PSG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Jun 2023
Messi kuondoka PSG

Kocha wa PSG, Christophe Galtier amethibitisha kuwa nyota wake Lionel Messi ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu.

Akizungumzia hilo kocha huyo amesema anajivunia kumfundisha mchezaji huyo bora katika historia ya soka duniani.

"Jumamosi itakuwa mechi yake ya mwisho kwa Messi tutakapocheza dhidi ya Clermont," amesema Galtier

Messi anahusishwa asilimia kubwa kurudi klabu yake aliyotoka Barcelona baada ya kocha Xavi kuonyesha nia ya kumuhitaji msimu ujao

Lakini pia ana ofa nono kutoka Saudi Arabia

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’