Manchester United - Manchester City - International

Dabi ya Manchester inapigwa Wembley leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Jun 2023
Dabi ya Manchester inapigwa Wembley leo

Fainali ya Kombe la FA 2023 kati ya Manchester City na Manchester United itachezwa katika uwanja wa Wembley leo Jumamosi saa kumi na moja jioni kwa saa za Afrika Mashariki

Ni fainali ya kwanza inayojumuisha timu mbili za Manchester katika historia ya mashindano hayo

Mashabiki karibu 90,000 wanatarajiwa katika uwanja wa Wembley licha ya mgomo wa kitaifa wa treni uliowaathiri maelfu ya mashabiki ambao wamelazimika kuweke mipango mbadala ya usafiri hadi London

Man City inayonolewa na Pep Guardiola, tayari limeshinda Ligi ya Premia na itakutana na Inter Milan katika fainali ya Ligi ya Mabingwa mnamo Juni 10, linahitaji ushindi ili kusalia kwenye mpango wa kutwaa mataji matatu

Lakini Man United, ambao tayari wameishinda City msimu huu, wanawania taji la pili msimu huu kufuatilia ushindi wao wa Kombe la Carabao mwezi Februari

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
31m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
43m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’