Polisi Tanzania imeungana na Ruvu Shooting kushuka daraja baada ya kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa Simba leo
Mabao matano ya Saido Ntibazonkiza na moja la Israel Mwenda yameizamisha Polisi Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex
Polisi Tanzania walihitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kubaki ligi kuu
Matokeo ya mechi nyingine zilizopigwa mapema, Mbeya City ilishindwa kulinda uongozi wa mabao matatu mbele ya Yanga na kulazimishwa sare ya mabao 3-3 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine
Matokeo ya mechi zote;
