Arsenal wanakaribia kufikia makubaliano ya pauni milioni 100 kumsaini kiungo wa kati wa West Ham na Muingereza Declan Rice, 24. (Guardian) Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anapanga kuondoka katika klabu hiyo mkataba wake utakapokamilika mwaka wa 2025. (Guardian)
..... download Xtra 90 App



