Mbeya - KMC - Local

Mbeya City yashinda mechi ya kwanza Play-off

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jun 2023
Mbeya City yashinda mechi ya kwanza Play-off

Mbeya City imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa kwanza wa play-off kuwania kusalia ligi kuu ya NBC

Sixtus Sabila na Mwaiposa walifunga mabao ya Mbeya City wakati bao la KMC lilifungwa na Abdul Hilal

Timu hizo zitarudiana tena jijini Dar es salaam katika mchezo wa pili utakaopigwa Ijumaa, Juni 16 katika uwanja wa Uhuru

KMC itahitaji ushindi wa angalau bao 1-0 ili kupindua meza wakati Mbeya City watahitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare

Timu itakayopata ushindi katika matokeo ya jumla itabaki ligi kuu wakati timu itakayopoteza itacheza mechi nyingine ya play-off dhidi ya timu iliyoshinda mchezo wa play-off kupanda ligi kuu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
5h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
5h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
9h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
13h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
15h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
16h ago
READ MORE β†’