Simba yatema watatu benchi la ufundi

Joel JJ By Joel JJ β€’ 15th June 2023


Simba yatema watatu benchi la ufundi

Klabu ya Simba imetangaza kuachana na mtaalamu wa viungo Dk Fareed Cassim pamoja na aliyekuwa Kocha wa viungo Kelvin Mandla

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema ni mchakato wa maboresho ya benchi la ufundi ambapo pamoja nao, Kocha wa magolikipa Chlouha Zakaria hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao

Uongozi wa Simba umepania kurejea ubora wa Simba kuanzia kwenye benchi la ufundi ambalo ndio kama jiko


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.