Bayern Munich wanajadili kumnunua beki wa Manchester City na England Kyle Walker, 33. (Mail) Chelsea wamekubaliana masuala ya kibinafsi na mshambuliaji wa Villarreal wa Senegal Nicolas Jackson, 21, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa cha euro 35m (£29.8m). (The Athletic - subscription required)
..... download Xtra 90 App



