Yanga - Transfer - Local

Yanga yahusishwa na Ibenge, Lilepo wa Al Hilal

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jun 2023
Yanga yahusishwa na Ibenge, Lilepo wa Al Hilal

Yanga inahusishwa kumuwania kiungo mshambuliaji wa Al Hilal Makabi Lilepo ambaye msimu uliomalizika alipachika mabao manne katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Lilepo ni miongoni mwa wachezaji ambao wameomba kuondoka Al Hilal kufuatia machafuko yanayoendelea nchini humo

Wakati huohuo, Yanga inahusishwa na kocha wa Al Hilal Florent Ibenge, Wananchi wanaweza kuwa na nafasi nzuri ya kumpata Lilepo kama Ibenge atatua nchini

Imeelezwa Ibenge tayari amevunja mkataba na Al Hilal wakati Lilepo bado wanamuwekea ngumu wakitaka wamtoe kwa mkopo

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Yanga kujaribu kuinasa saini ya winga huyo mwenye kasi

Kabla ya kutua Al Hilal Yanga ilijaribu kumsajili msimu uliopita lakini ofa nono ya Al Hilal ikapelekea Mcongomani huyo kutimkia Sudan ambako hata hivyo sasa hatamani tena kurudi kutokana na vita inayoendelea

Mahusiano mazuri ya Yanga na wachezaji kutoka DR Congo inaweza kuwa chachu kwa mshambuliaji huyo kutua Yanga

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’