Mshambulizi wa Tottenham Harry Kane, 29, anataka kujiunga na Bayern Munich lakini ofa ya ufunguzi ya klabu hiyo ya Ujerumani ya pauni milioni 60 pamoja na nyongeza kwa nahodha huyo wa Uingereza imeonekana kuwa ni ya chini sana na watahitaji kupata angalau pauni milioni 100 ili kupata nafasi kukamilisha mpango. (Guardian)
..... download Xtra 90 App



