Szoboszlai kuvaa jezi ya Gerrard Liverpool

Joel JJ By Joel JJ β€’ 3rd July 2023


Szoboszlai kuvaa jezi ya Gerrard Liverpool

Kiungo Dominik Szoboszlai raia wa Hungary aliyejiunga na Liverpool amekabidhiwa jezi nzito namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na nahodha Steven Gerrard

Szoboszlai ametua Liverpool kwa mkataba wa miaka mitano dau lake likiwa €70m

Baada ya uhamisho wake kukamilika, nyota huyo ameweka wazi kwa nini amependa kutumia jezi namba nane 

“Nina tatoo ya Steven Gerrard hiyo ndio sababu ya kwanini alikuwa mkubwa kipindi niko mdogo"

"Klopp? ndio aliniita ni kweli. Nikasema ni sawa, hili jambo litaenda kuwa bora sana na kila kitu kilikuwa sawa." alisema Szoboszlai.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.