Simba - Yanga - Transfer - Local

Al Hilal yatibua dili la Ngoma Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Jul 2023
Al Hilal yatibua dili la Ngoma Simba

Mara baada ya wachezaji wa timu ya Al Hilal kutaka kusitisha mkataba huku wakihusishwa na baadhi ya timu, mabosi wao wameamua kuwafungulia mashtaka Fifa

Wachezaji waliositisha mikataba yao ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou na Ibrahim Imoro ambao haijajulika wanajiunga na timu gani

Ngoma na wenzake wanadaiwa kusitisha mikataba yao kinyume na taratibu na hivyo Al Hilal kutangaza rasmi kuwafungulia mashtaka FIFA

Ngoma alijiunga na Al Hilal akisaini mkataba wa miaka mitatu ambao ameshautumikia kwa msimu mmoja

Hata hivyo hakuwa na wakati mzuri na matajiri hao wa Sudan kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimsumbua mara kwa mara

Machafuko yaliyotokea huko Sudan imekuwa sababu kwake na wenzake kuvunja mikataba yao ingawa Al Hilal imedai kuchukua hatua kwa kuhamisha kambi ya timu hiyo nchini Misri ili kulinda usalama wa wachezaji

Al Hilal wako Tunisia wakishiriki michuano maalum ya nchi za kiarabu, nyota hao watatu hawakurejea kambini kuungana na wenzao

Imeelezwa Ngoma yuko jijini Dar es salaam kukamilisha usajili wake na Simba na alikuwa akisubiri barua kutoka Al Hilal ili mchakato huo ukamilike

Lakini kwa taarifa hiyo iliyotolewa na Al Hilal ni wazi timu hiyo haitawapa wachezaji hao barua mpaka mgogoro wao utakapotatuliwa na FIFA

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
31m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
43m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’