Klabu ya Azam Fc inatarajiwa kuondoka nchini Jumapili Julai 09 kuelekea Tunisia kwa ajili ya pre-season ya maandalizi ya msimu wa mashindano 2023/24
Taarifa iliyotolewa na Azam Fc imebainisha kuwa timu hiyo itaweka kambi katika Mji wa Sousse nje kidogo ya jiji la Tunis
Kambi ya Azam Fc itahitimishwa Julai 30 na kurejea nchini

ADVERTISE HERE