Yanga - Local

Nyasa Big Bullets, Yanga hakuna mbabe

Joel JJ By Joel JJ
6 Jul 2023
Nyasa Big Bullets, Yanga hakuna mbabe

Mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Nyasa Big Bullets dhidi ya Yanga umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Yanga ikisheheni nyota wengi kutoka kwa kikosi cha U20, iliwapa wakati mgumu Nyasa Big Bullets ambayo walitumia kikosi chao cha kwanza kusaka ushindi katika mchezo huo wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi

Kocha Said Maulid wa Yanga aliwapongeza vijana wake kwa kuonyesha mchezo mzuri licha ya kutokuwa na uzoefu katika mechi za Kimataifa

Nyota wa wa Yanga kutoka kikosi cha kwanza walioshiriki mchezo huo ni Metacha Mnata, Joyce Lomalisa, Clement Mzize, Chrispine Ngushi na Denis Nkane ambaye hata hivyo alipata majeraha na kulazimika kupatiwa matibabu ya dharura

Waganda Moses Aliro na Sharifu Kimbowa ambao wapo Yanga kutoka klabu ya Wakiso Fc kwa makubaliano ya ushirikiano, walishiriki mchezo huo uliochezwa kwa dakika 70 kila kipindi kikichezwa dakika 35

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
10h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
11h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
13h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
13h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
15h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
15h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
15h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
15h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
15h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
17h ago
READ MORE →