Simba - Transfer - Local

Kramo atua Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Jul 2023
Kramo atua Simba

Winga hatari wa Asec Mimosas Kramo Aubin amesajiliwa Simba kwa mkataba wa miaka miwili

Baada ya kuinasa saini ya Essomba Onana ambaye anamudu kucheza nafasi zote za winga, ujio wa Kramo unakwenda kuimarisha zaidi safu ya ushambuliaji ya Simba

Kibu Denis na Pape Ousmane Sakho watakuwa amepata washindani sahihi katika nafasi zao

Winga huyo anatumia miguu yote kwa ufasaha hivyo kumfanya kuwa mchezaji ambaye Simba inaweza kumtumia katika nafasi zote za winga na hata kiungo mshambuliaji

Ukizungumzia wachezaji waliong'ara katika kikosi cha Asec kilichocheza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu uliopita, Kramo ni miongoni mwao akipachika mabao manne

Simba haikuanza kumfuatilia Kramo msimu huu, hata msimu uliopita alikuwa kwenye orodha ya nyota waliokuwa wakiwaniwa lakini mpango wa kumnasa haukufanikiwa 

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’